1/6
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 0
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 1
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 2
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 3
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 4
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 5
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) Icon

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Tanzania Tech Media
Trusted
1K+Downloads
10MBSize
Android Version Icon4.1.x+
Android Version
2.0(26-02-2021)Latest version
-
(0 Reviews)
Age ratingPEGI-3
DetailsReviewsVersionsInfo
1/6

Description of Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.


Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila Matangazo, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.


Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi na bila kuwepo kwa Matangazo. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.


* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.

* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.

* Na mengine mengi.....


Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - Version 2.0

(26-02-2021)
Other versions
What's newSehemu Mpya ya Habari Video * Global TV YouTube * Ayo TV YouTube * Wasafi Media YouTube * Bongo 5 YouTube * Azam TV YouTube * MCL Digital YouTube * ITV Tanzania YouTube * TBC Online YouTube * EATV YouTubeSehemu Mpya ya Social Media * Sehemu hii inakuja na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na InstagramMaboresho ya MuonekanoMaboresho ya Sehemu ya Michezo Tumeongeza AZAM TVSehemu Mpya ya Jinsi ya Kutumia

There are no reviews or ratings yet! To leave the first one please

-
0 Reviews
5
4
3
2
1
Info Trust Icon
Good App GuaranteedThis app passed the security test for virus, malware and other malicious attacks and doesn't contain any threats.

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - APK Information

APK Version: 2.0Package: com.gazeti.digitalwebbased
Android compatability: 4.1.x+ (Jelly Bean)
Developer:Tanzania Tech MediaPrivacy Policy:https://tanzaniatech.one/privacy-policy.htmlPermissions:28
Name: Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)Size: 10 MBDownloads: 66Version : 2.0Release Date: 2021-02-26 13:33:53Min Screen: SMALLSupported CPU:
Package ID: com.gazeti.digitalwebbasedSHA1 Signature: 1F:F6:91:BF:92:D5:19:E3:56:43:01:04:4C:87:65:62:EA:58:DD:66Developer (CN): AndroidOrganization (O): Google Inc.Local (L): Mountain ViewCountry (C): USState/City (ST): California

Latest Version of Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

2.0Trust Icon Versions
26/2/2021
66 downloads10 MB Size

Other versions

1.6Trust Icon Versions
22/5/2020
66 downloads8.5 MB Size
1.5Trust Icon Versions
11/5/2020
66 downloads8.5 MB Size
1.4Trust Icon Versions
9/2/2020
66 downloads7.5 MB Size
Apps in the same category
You may also like...